Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Aug 27, 2015 #2 Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober
Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober
B bunited JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 815 Reaction score 216 Aug 27, 2015 #3 Safi sana kijana kwa kutoa lako la moyoni.hayo ndiyo maamuzi sahihi ya kiume.salute kwako bro
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Aug 27, 2015 #4 Big up Ney kumbe wakati mwingine unakua na akili eenh
N Njema kabisa JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 699 Reaction score 238 Aug 27, 2015 #5 nifah said: Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober Click to expand... Kama unataka wimbo alio muimbia lowasa nichek inbox yuko vzr sana Nay
nifah said: Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober Click to expand... Kama unataka wimbo alio muimbia lowasa nichek inbox yuko vzr sana Nay
Senior Boss JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 3,405 Reaction score 3,701 Aug 27, 2015 #6 He z different. Wengine wanafuata ulaji tu.
F fundi makarasha Senior Member Joined Aug 26, 2015 Posts 124 Reaction score 29 Aug 27, 2015 #7 Big up Nay hua nakukubali sana akili yako kubwa sana . wengine njaa zitawauwa .
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Aug 27, 2015 #8 nifah said: Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober Click to expand... Sipendi miziki ya bongo fleva lakini always wanamuziki wa hip hop nawakubali sana maana huwa sio wanafiki! Wana-hip hop wote duniani ni wanasiasa! Big up Ney wa Mitego
nifah said: Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober Click to expand... Sipendi miziki ya bongo fleva lakini always wanamuziki wa hip hop nawakubali sana maana huwa sio wanafiki! Wana-hip hop wote duniani ni wanasiasa! Big up Ney wa Mitego
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Aug 27, 2015 Thread starter #9 nifah said: Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober Click to expand... yani kama mimi, nilikua simpendu huyu dogo, ila nampendaje sasa, anajitambua
nifah said: Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober Click to expand... yani kama mimi, nilikua simpendu huyu dogo, ila nampendaje sasa, anajitambua
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Aug 27, 2015 Thread starter #10 Njema kabisa said: Kama unataka wimbo alio muimbia lowasa nichek inbox yuko vzr sana Nay Click to expand... mkuu tupia hapa watu wausikie
Njema kabisa said: Kama unataka wimbo alio muimbia lowasa nichek inbox yuko vzr sana Nay Click to expand... mkuu tupia hapa watu wausikie
N Njema kabisa JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 699 Reaction score 238 Aug 27, 2015 #11 Mtende said: mkuu tupia hapa watu wausikie Click to expand... Nielekeze namna ya kuuweka mkuu
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,081 Reaction score 35,385 Aug 27, 2015 #12 Akiisema ccm mtusafi mazuzu bwana
0716196370 Member Joined Jul 28, 2015 Posts 29 Reaction score 2 Aug 27, 2015 #13 Nay nakukubali sana na ninaomba siku ya burudani kwa Lowasa uwape vidonge vyao hasa ule wimbo wa MALA BANGE MALA MATUSI SASA CAMPENI GANI uwaendee wana CCM wote.
Nay nakukubali sana na ninaomba siku ya burudani kwa Lowasa uwape vidonge vyao hasa ule wimbo wa MALA BANGE MALA MATUSI SASA CAMPENI GANI uwaendee wana CCM wote.
beleza JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 397 Reaction score 144 Aug 27, 2015 #14 big up ney.ALL EYES ON U.
M mpingomweusi Member Joined Aug 24, 2015 Posts 59 Reaction score 13 Aug 27, 2015 #15 Ni upumbavu na ulofa alioambukizwa.
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,884 Aug 27, 2015 #16 nifah said: Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober Click to expand... Neema huyo ana akili za kike. Hajaongea ka timamu. Angeongea critically yeye alitegemea nini na wanaongea nini' she s stpd.
nifah said: Ney nilikua sikupendi lakini kwa kuwa umeonesha kujitambua huku kulikotukuka nakupa heshima yako. Mafuriko hakuna wa kuyazuia... #TukutaneOctober Click to expand... Neema huyo ana akili za kike. Hajaongea ka timamu. Angeongea critically yeye alitegemea nini na wanaongea nini' she s stpd.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Aug 27, 2015 #17 data said: Neema huyo ana akili za kike. Hajaongea ka timamu. Angeongea critically yeye alitegemea nini na wanaongea nini' she s stpd. Click to expand... Watoto wa kike huwa tunajuana kwa swaga zetu, bila shaka na wewe ni wa kike.
data said: Neema huyo ana akili za kike. Hajaongea ka timamu. Angeongea critically yeye alitegemea nini na wanaongea nini' she s stpd. Click to expand... Watoto wa kike huwa tunajuana kwa swaga zetu, bila shaka na wewe ni wa kike.
A ampliclox JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 205 Reaction score 68 Aug 27, 2015 #18 Senior Boss said: He z different. Wengine wanafuata ulaji tu. Click to expand... Makubwaa...kwa hiyo unathibitishaje ye hajafuata ulaji? Hizi double standard zitatumaliza watz
Senior Boss said: He z different. Wengine wanafuata ulaji tu. Click to expand... Makubwaa...kwa hiyo unathibitishaje ye hajafuata ulaji? Hizi double standard zitatumaliza watz
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Aug 27, 2015 #19 Senior Boss said: He z different. Wengine wanafuata ulaji tu. Click to expand... Kabisa mkuu, njaa mbaya sana.
Senior Boss said: He z different. Wengine wanafuata ulaji tu. Click to expand... Kabisa mkuu, njaa mbaya sana.
Phoenix JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 10,592 Reaction score 15,485 Aug 27, 2015 #20 data said: Neema huyo ana akili za kike. Hajaongea ka timamu. Angeongea critically yeye alitegemea nini na wanaongea nini' she s stpd. Click to expand... Ndio unaongea nini sasa? Ujinga ujinga tu.
data said: Neema huyo ana akili za kike. Hajaongea ka timamu. Angeongea critically yeye alitegemea nini na wanaongea nini' she s stpd. Click to expand... Ndio unaongea nini sasa? Ujinga ujinga tu.