mashukuru sn umem=nitoa ushamba FAX nimekuelewa vzr ngoja nitaenda TTCLnetwork cable inaingia port yake ni pana RJ45 na fax port yake ni kama ya simu ya mezani nyembamba kidogo RJ11.
network inakusaidia mkiwa kwenye sama LAN muweze kuprint au scanning kila mmoja kivyake vyake
fax ni kupokea au kutuma ujumbe uliokuwa scanned kwenda sehemu nyingine jambo ambalo email imefanya fax kutokuwa na umuhimu sana maana wakati zamani fax zikitumia internet ilikuwa haijasambaa sana hasa kutuma mikoani na wilayani.