Kutengeneza radio yako ambayo ww utakuwa unarusha matangazo ni kitu kidogo sana ambacho alikuwa anafanya jamaa yangu ambae aliacha shule darasa la 5, isipokuwa redio haiyendi mbali yaani kama mita 100 tu ,
Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili