mkuu kuna vitu bado vinamiss hapo,
1. hujataja gpu yako
2. hujataja version ya hio Adobe premier pro
kwa haraka haraka hapo hio ram inakulimit, version mpya za premiere zinataka gb 12 hadi 16 za ram. yako ni ndogo sana, fungua sehemu ya ram kwenye laptop angalia kama kuna slot haijatumika nunua ram ya 8gb chomeka atleast ifike 12gb.
kwa uhakika zaidi fungua task manager au resource monitor wakati una render video then angalia cpu, ram na storage zinajaa vipi hapo utaona kipi kinakurudisha nyuma.
pia workstation huwa zina option ya kueka hdd zaidi ya moja. nimesoma mahali ukiexport video kwenye hdd nyengine tofauti na unayotumia inaweza kusaidia,