jf user JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 777 Reaction score 625 Nov 18, 2018 #1 Nilikua na type kazi kwenye Ubuntu ghafla file likawa corrupted sahivi halifunguki kabisa. Nimechange kuwa docx lakini wapi sijafua dafu pamoja na kufungulia kwa window OS. Nisaidieni powerful way ya kurecover hi kazi kwani ni muhimu mno.
Nilikua na type kazi kwenye Ubuntu ghafla file likawa corrupted sahivi halifunguki kabisa. Nimechange kuwa docx lakini wapi sijafua dafu pamoja na kufungulia kwa window OS. Nisaidieni powerful way ya kurecover hi kazi kwani ni muhimu mno.