Nawezaje ku-download Windows 10?

Bila kulipia au ebu nielekeze umepitia wapi ndugu?
Sijalipia zaidi ya bando langu
Inshu ni kwamba huwa napendaga kudownload windows zikiwa lite lakini naishiaga kupata 7 lite ambayo imetokana na premium sasa nikaamua kusearch windows all in one, ndio nikapata windows 7 all in one, 8 all in one, 10 all in one kisha na Microsoft all in one, hapo ndio nikapata huu uchafu wote, nimeidownloadia kwa wahindi ngoja niitafute link, pia getinto PC wanayo Ila yao ni 7,8.1,10 version zote na hapo ndio nikaamua kuuliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wajanja tu wana re pack
 
Umedownload site gani mkuu
 
Bro io ni repack ambayo watu hujiongeza nakufanya hivyo ndo maana utakuta ipo pre activated ila microsoft awawezi fanya biashara kma hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unatumia simu ni rahisi kudownload kupitia uc browser kwenye website ya microsoft. Kama unatumia kompyuta sio rahisi kuona sehemu ya kudownload iso file baadala yake utaona sehemu ya kudownload tool ya ku-update au kudownload iso file, tatizo ya ile tool utatumia muda mrefu kudownload.

Kwa watumiaji wa kompyuta kama unatumia google chrome (Sijawahi kujaribu kwenye browser zingine) ingia kwenye link ya microsoft, Bonyeza Ctrl + Shift + I itakupeleka kwenye developer tools, baada ya hapo bonyeza Ctrl + Shift + M, uta-reload page upya itabadirika na kuwa kama unatumia kwenye simu baada ya hapo utaona sehemu ya kuchagua version ya windows 10 unayoitaka.
 
asanteee mkuu
 
Torrent unaweza kuipata ila kabla ya kudownload hakikisha umepitia comments kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…