Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 757
- 672
Leseni yako ya biashara ni dhamana tosha... Kifupi duka lako ni dhamana.. Tembelea mabenki na taasis kama finca,brac....
Asante mkuu kwa ushauriLeseni yako ya biashara ni dhamana tosha... Kifupi duka lako ni dhamana.. Tembelea mabenki na taasis kama finca,brac....
Huna rafiki mwenye uwezo kifedha akakuadhima tu hyo hela then ukafaight na kumrejeshea hela yake mkuu?? Kwingine huko miyayusho kweli aisee.
Jihadhari na viwango vya riba.
kila mtu ninayemjaribu anadai hela imekuwa ngumu kwa sasa mkuu
Its OK, hatuwezi walaumu maana huenda ikawa ni kweli. Cheki na hizi Microfinance ambazo ziko around na uliko ila kua makini sana na kiwango cha riba.
Access bank nakushauri usiende maana unaeza hama mkoa siku za marejesho zikifika.
Binafsi kwa leseni nimeona dada yangu akichukulia hel brac na finca pia alishawah kuchukua.. So naamin mpaka benki itakua ivo...... Kwa mfano nmb au crdb.. Pia nakushaur tembelea matawi yao ili wakupe muongozo mzur....