Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 755
- 670
asante mkuu kwa ushauriMillion 5 nenda ACCESS BANK.ila hakikisha una leseni na TIN NO,na wadhamini wawili wenye biashara
Hati ya nyumba/kiwanja usikose..yaani sehemu yoyote utakayoenda kukopa kuanzia milion moja kwenda juu lazma vitu hivyo,ila chini ya hapo hauhitaji kuwa navyo zaidi tu ya wadhamini wawili wwnye biasharaasante mkuu kwa ushauri
hivi hati ya kiwanja ni lazima iwe na jina langu, kwa mfano uko Dodoma unaweza tumia hati ya kiwanja kilichopo arusha?Hati ya nyumba/kiwanja usikose..yaani sehemu yoyote utakayoenda kukopa kuanzia milion moja kwenda juu lazma vitu hivyo,ila chini ya hapo hauhitaji kuwa navyo zaidi tu ya wadhamini wawili wwnye biashara
hivi hati ya kiwanja ni lazima iwe na jina langu, kwa mfano uko Dodoma unaweza tumia hati ya kiwanja kilichopo arusha?
hivi hati ya kiwanja ni lazima iwe na jina langu, kwa mfano uko Dodoma unaweza tumia hati ya kiwanja kilichopo arusha?
asante mkuu ngoja nije inboxKinachohitajika ni dhamana!!location is just something else! Kama una Hati ya kiwanja/nyumba basi. You have a good start,nicheki inbox Nikupe mwongozo.