nipo nakula balance diet ili nirudishie mbegu zilzopotea!
[/QUOTE😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
mpe Mimba, upewe Ukimwi..
Tia Utiwe,
Jaman habarini!!! kuna mwanamke anashida ya kupata mtoto sasa kaniomba nimpe mimba, sasa tangu wiki iliyopita kuna mtu wangu namgegeda mpaka leo sijapumzika hata siku moja, tatizo linakuja kwamba kesho ndo siku tuliyokubaliana na huyo mwanamke nimpe mavituzi, je naweza mpa mimba kweli maana nimefululiza kweli kugegeda jaman!
Hongera kwa kupata mtoto.Kuna mwanamke alinambia jaman nomba unipe tu mimba kulea ntalea mimi.Ila mi nataka nizae na wewe mi nkamwambia ila uwezo wa kulea sina kwa sasa.akasema mi nachotaka mimba kulea ntalea mimi.Alivozaliwa mtoto nilifurahi nkawa namnunulia vinguo yaan shopping kama ya la 3 hivi.Mara mambo yang yakaenda vibaya nkawa BANKRUPT.Sasa bana akawa ananipigia simu naomba hichi mara mtoto hivi mara viatu vimeisha nguo zimembana mi nkamwambia lakn hali yang si waijuwa na yaliyonitokea.Akawa ananitukana matusi makubwa kubwa afu ananiblock wiki then ananiamblock anatukana weee then anablock.Afu anasema hii ndo simu yang ya mwisho kwako hutoona mi kukupigia haipiti wiki kapiga tena.Daah nkawa najiuliza mi sikutaka hata kuzaa naye basi tu ye HASHUO lake tu
Sent using Jamii Forums mobile app
una uhakika gani kama unaweza kumpa mimba ikiwa Njemba zingine zimeshindwa???Jaman habarini!!! kuna mwanamke anashida ya kupata mtoto sasa kaniomba nimpe mimba, sasa tangu wiki iliyopita kuna mtu wangu namgegeda mpaka leo sijapumzika hata siku moja, tatizo linakuja kwamba kesho ndo siku tuliyokubaliana na huyo mwanamke nimpe mavituzi, je naweza mpa mimba kweli maana nimefululiza kweli kugegeda jaman!