Naweza mpa mimba kweli?

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
773
Reaction score
1,087
Jaman habarini!!! kuna mwanamke anashida ya kupata mtoto sasa kaniomba nimpe mimba, sasa tangu wiki iliyopita kuna mtu wangu namgegeda mpaka leo sijapumzika hata siku moja, tatizo linakuja kwamba kesho ndo siku tuliyokubaliana na huyo mwanamke nimpe mavituzi, je naweza mpa mimba kweli maana nimefululiza kweli kugegeda jaman!
 
Maana nimeahidiwa mpunga mrefu nikifanikiwa kumpa mtoto!
 
Usiku Kula karanga kilo moja,shushia na maziwa nusu lita,lala
Asubuhi amkia na mikate paka asali kwa wingi,shushia juice ya tende..kaa kidogo kamata watermelon na kisu fyeka lote!!
Nenda uwanjani kapige mechi
 
Kama wewe bado ni bwana mdogo uko kwenye 19-29 usiwe na wasiwasi unauwezo wa kupiga bao. Sijui umri wake yeye ila ukikaribia jizuie kidogo ili maji yajikusanye.

Ila inategemea na Kalenda yake kuna kama siku nne hivi za kufunga goli,hakikisha kila ukimwagia usimguse tena mpaka kesho yake maana maji ya mwamme hukaaa humo 24hrs
 
Kwa hiyo zimeisha? Yaani ume-upload zote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…