Naomba msaada,
Memory card yangu imekataa kusoma kwenye simu inataka niformat nimeweka kwenye pc inasema hivyo hivyo ninachotaka kujua nikitaka kuformat inasema itafuta all data sasa je hizi data niwezaje kuzihamisha manake ina data za muhimu sana
Chakufanya:
Jaribu kuweka kwenye simu nyingine kama itakuambia hivyo (Uformat) ikiwezakana tafuta simu za button uweke. Ikishindikana
Format kisha tafuta Easeus data recovery au wondershare data recovery au data recovery yyte km utaipata
Yakuzingatia.
Baada ya kuformat usiweke kitu chochote mpaka utakapofanya data recovery sbb inaweza sabbisha kutopata data zako.