Naomba msaada kwa jf member,s nina ndugu yangu amemaliza form 4 alipata kiswahili b, history c, geograph d, english d, civics e, math f, ana division 4 ya point 36. Shule ya private hawamchukui
Naomba msaada kwa jf member,s nina ndugu yangu amemaliza form 4 alipata kiswahili b, history c, geograph d, english d, civics e, math f, ana division 4 ya point 36. Shule ya private hawamchukui
1. Marks siyo max, au ungeandika alama badala ya hilo neno uliloweka halimaanishi unachotaka kusema
2. Kwenye heading umejitaja wewe, kwenye maelezo unasema una ndugu yako, hii ni kama hupo serious na ukiandikacho
tafuta waraka wa elimu toka wizaran kwenda kwa wakaguzi elimu kanda, maafisa elimu mkoa na wilaya na kwa wakuu wa shule umetoka mwaka huu, vigezo vya kujiunga kidato cha tano 2014