Bila shaka ulimaanisha Facult!
Yakupasa ujue nini maana ya facult, kiufupi ni kitivo...
Uwezekano wa kubadilisha kitivo upo na pia unaweza kubadilisha kozi uliyochaguliwa kwenye kitivo husika na kuchagua nyingine kwenye hicho kitivo, isipokuwa kuna kozi nyingine huwezi kubadilisha!
Mfano education ie Bsc(ed) au Baed, ukichaguliwa kati ya hizi kozi mbili uwezekano wa kubadili na kwenda kozi nyingine ambayo si education ni mdogo sana!
Lakini kubadili kutoka kozi nyingine ambazo si education na kwenda education au kozi nyingine tofauti inawezekana ikiwa utakuwa una vigezo stahili!