The blessed one1
Member
- Dec 13, 2023
- 38
- 122
Nini maana yake.?, Unamaanisha nini hasa wasiojielewa .kupiga vizinga wasamaria na wasiojielewa!
Swali la Msingi BUMU ni Shilingi Ngapi na Karo ni Shilingi Ngapi?Unaishi au kusoma katika Mkoa Gani?Unasoma Kozi Gani?Kwa hali yako ya Familia wanaweza wakapata Ada Kiasi gani/asilimia Ngapi?Wakuu kwema
Naombeni ushauri wa kimawazo , mimi nilikosa tuition fee nina bumu tu.
Kozi yangu ni ya miaka mitano , uwezo wa kiuchumi upo chini, nilikata rufaa kuomba mkopo upya sikupata .
Nawaza labda Kuna namna pesa hii ya meal and accomodations inaweza tumika kwenye biashara fulani then ikanisaidia kulipa ada,
Awali nilikopa ada , bumu lilipokuja nikalipa nikakopa tena.
msaada wa kimawazo naombeni.
Wazungu walikuta wenyeji wa Mwadui wakichezea almasi bao! Kawatengenezea goroli wakampa almasi! Hata sasa katika maisha ya kawaida kuna watu wanahela hawajui thamani yake! Utajua jinsi unavyothamini hela jinsi unavyoitumia. Hao ndo wasiojielewa unawapiga! Who cares! If you don't, someone will do! Mwl.RCTNini maana yake.?, Unamaanisha nini hasa wasiojielewa .
Bumu 700k , ada 850k , Dar , 20%Swali la Msingi BUMU ni Shilingi Ngapi na Karo ni Shilingi Ngapi?Unaishi au kusoma katika Mkoa Gani?Unasoma Kozi Gani?Kwa hali yako ya Familia wanaweza wakapata Ada Kiasi gani/asilimia Ngapi?
Well So unataka kuwekeza 700K ikuzalishie 850k na zaidi ili uweze kulipa ADA na Kumudu gharama ya Maisha.JE una soma Kozi gani?Bumu 700k , ada 850k , Dar , 20%
huyo sio demu kwamba dunia itamuonea hurumaTumia bumu kulipa karo! Shindia mkate na maji na kupiga vizinga wasamaria na wasiojielewa! Mwisho wa siku utamaliza bila kusahau kuomba Mungu
Wanafunzi wengi vyuo vya kati [Not universities]DIT, IFM na CBE wana bet na wanapiga hela sana, unaweza wekeza kwenye betting.Wakuu kwema
Naombeni ushauri wa kimawazo , mimi nilikosa tuition fee nina bumu tu.
Kozi yangu ni ya miaka mitano , uwezo wa kiuchumi upo chini, nilikata rufaa kuomba mkopo upya sikupata .
Nawaza labda Kuna namna pesa hii ya meal and accomodations inaweza tumika kwenye biashara fulani then ikanisaidia kulipa ada,
Awali nilikopa ada , bumu lilipokuja nikalipa nikakopa tena.
msaada wa kimawazo naombeni.
Dah kwa Kozi ya Udaktari Its a BIT Tricky,N hiyo ada ni ada ya Semister au ya Mwaka au robo mwaka?Maana kwa nijuavyo ada za medicine haziko kwenye malaki.Pili kwa kiwango hicho cha mtaji unachoweza Fanya ni huduma ya Wakala wa Huduma za fedha.Target Clients wako wawe ni wanachuo wenzakokozi ya udaktari mkuu
Hiyo ni ada ya semister moja mkuu , asante kwa ushauri wakoDah kwa Kozi ya Udaktari Its a BIT Tricky,N hiyo ada ni ada ya Semister au ya Mwaka au robo mwaka?Maana kwa nijuavyo ada za medicine haziko kwenye malaki.Pili kwa kiwango hicho cha mtaji unachoweza Fanya ni huduma ya Wakala wa Huduma za fedha.Target Clients wako wawe ni wanachuo wenzako
😅😅🤣🤣🤣🤣🤣Mwamposa ana sadaka ya kujimaliza. Kampe boom lako lote halafu urudi ghetto ulale, hela zitakuwa zinaingia zenyewe tu.
Kuna fursa nyingine ila kwa mwanafunzi wa udaktari hutaweza kubalance.Unahitaji Mtu na kwa hiyo hela ukiweka Mtu maisha yatazidi kuwa TIGHT.Kama Ungeweza Kubadili kzoi utafute kozi ya miaka 3 then udaktari utashughulika nao kwa wakati.Shida vyuo vya Bongo havina Endowment Funds na hata zikiwepo Wakuu wa vyuo watazipiga tu ila kwa Situation yako ingekuwepo endowment fund mambo yangeenda vizuri kabisaHiyo ni ada ya semister moja mkuu , asante kwa ushauri wako
Hii inakuaje mkuuKuna fursa nyingine ila kwa mwanafunzi wa udaktari hutaweza kubalance.Unahitaji Mtu na kwa hiyo hela ukiweka Mtu maisha yatazidi kuwa TIGHT.Kama Ungeweza Kubadili kzoi utafute kozi ya miaka 3 then udaktari utashughulika nao kwa wakati.Shida vyuo vya Bongo havina Endowment Funds na hata zikiwepo Wakuu wa vyuo watazipiga tu ila kwa Situation yako ingekuwepo endowment fund mambo yangeenda vizuri kabisa
Bila shaka unasoma architecture hapo ARDHI university na upo school ya SERBI.Wakuu kwema