Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,846
Mo alipokuwa mdhamini wa Simba club ilifanya vzr kimataifa kumbuka 2003, ilo moja mbili unachopinga ww ni nn haswa? Kwan ata Mo asingeichukua Simba unahc Simba inge improve? Mboma miaka yote mambo ni yale yale tuu
MPENI AKILIMALI ANGALAU ATAWASAIDIA KULOGAso mkaona jambo bora ni kumuizia timu ?
kwelo kabisa mnauza timu tena madalali ni hao wa FoodWorld na nyinyi mnakubali ?
kama waliwapiga kwenye usajili , wachezaji wanapigwa mishahara sembuse kwenye dili hili?
Kwa kawaida mpira wa miguu pamoja na michezo mingine ni frusa hasa kwa wenye pesa.Kufanya biashara na timu ulizotaja wewe ni kazi ngumu kuliko simba na yanga.Hata sport pesa walipo fika walianza na timu hizo kwanza ndipo wakaanza kufikiri timu nyingine.Mpira biashara elewa hivo.Kwanza ukakiri wewe ni mwanasimba, mwisho unasema watu wasije shikana mashati! Bila shaka wewe umeshajitoa kuwa si mwanasimba. Tunashindwa kuendelea hasa kwasababu ya mawazo kama haya, michezo ni biashara, hivyo kama kuna vilabu vingine vyenye nia ya kukaribisha wawekezaji basi muda ndo huu, muhimu ni kufuata tararibu na serikali iliridhie.
Waulize vyura wenzio wakujibu sisi tunamuunga mkono "MO"Ningefurahi kama hoja zangu zingejibiwa .
Thamani ya hizo timu za kariakoo hata billion 5 hazijafika.Swali lingine la msingi. Wamepaje thamani ya Simba hadi waseme billion 20 ndiyo 51%
Mtu akija Yanga lazima ifanyike valuation kwanza
Mpira wa sasa ivi ni pesa asikudanganye mtu, na wala sio kuuza timu na ndio maana wamegawana hisa, ingekuwa ni kuuza hisa zote angechukua Mo kama unakumbuka vzr yule mwarabu wa U.A.E aliyetaka kuichukua Liverpool miaka ile alitaka hisa asilimia 90 liverpool ikagoma kwani madhara yake akifilisika na club inakuwa inakuwa mufilisi lakini kwa izo asilimia wala sio mbaya kwa anayejua mpiramimi napinga timu za wanachama kuuzwa kwa bepari mmoja.
hivi hamjiulizi barcelona na madrid kwanini haziuzwi ?
hivi hamjiulizi kwa nini ilipouzwa manchester united mashabiki wakaenda kuanzisha FC united of manchester?
Ivi kipindi hicho mlikuwa na mo dewji au kassimu dewji?Sipingi , maana wengi wape , mimi nimeweka angalizo tu mkuu .
Wewe sio Simba na wala huna mchango wowote kwa Simba kama hujui Dewji kaifanyia nini Simba 2003 na kuendelea.unanonyesha ulivyo mbulula kwenye zabuni unauliza alipata Kura ngapi?zinakutosha kweliKwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya kushindwa .
Mohamed Dewji aliwahi kumiliki timu ya soka ambayo baadaye ilishuka daraja , hakuna aliyesahau hili , kama timu aliyoimilki kwa 100% iliporomoka , vipi hii 49% ? , kingine ni kwamba , huyu alikuwa mfadhili wa Singida United alipokuwa mbunge , kipi ilichofanikiwa timu ile , mbona ilishuka daraja na kupotea ? Shukrani kwa walioirejesha tena ligi kuu .
Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi ? Tunauliza hivi ili baadaye msije kushikana mashati .
Majuto ni mjukuu .
Ningefurahi kama hoja zangu zingejibiwa .
Mbona una point dhaifu sana ktk uwekezaji wa mpira kuna kitu kinaitwa fan base( wingi wa mashabiki) kama timu ina mashabiki wengi kila mwekezaji atataman kuwekeza apo kwa akili yako mbagala market na simba ni klabu ipi yenye fan base kubwa?Mkuu, hayo yote kwa nini asifanye Mbagala Market au Singida United.
Hapo Simba hata Bakhresa palimshinda kaanzisha Azam yake.