whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,193
- 2,552
ahsante mkuuPole kwa misukosuko
nimejikuta uzi nimeupost kwenye international forum!ahsante mkuu
2003 ungali bado mdogo! Kumbe humu tupo na wajukuu zetu na ndio maana matusi yamekuwa mengi siku hizi!nilizaliwa simanjiro,baba alifariki angali mimi bado mdogo( mwaka 2003)
πππ nje ya mada2003 ungali bado mdogo! Kumbe humu tupo na wajukuu zetu na ndio maana matusi yamekuwa mengi siku hizi!
jf haihitaji kuuza sura, jina la mshua linatosha.liko hapo juuWeka hata picha yako watu wafananishe
Mwanangu wa mwisho kati ya wanne nilionao ndo kazaliwa huo mwakaπππ nje ya mada
kwani 2003 wewe ulikuwa na miaka mingapi boss
siwezi kukataa.Mwanangu wa mwisho kati ya wanne nilionao ndo kazaliwa huo mwaka
Nimeipokea kwa mikono miwilisiwezi kukataa.
heshima yako mkuu
Ukute hata demu huna dogo??πππMwanangu wa mwisho kati ya wanne nilionao ndo kazaliwa huo mwaka
ni vizuri nikawafahamu ndugu upande wa baba chiefHopefully utawapata. Ila kwa nini unawatafuta?
hii ndo jf mkuu,inabidi tu ukubali kuwa mwana ni mkubwa, huwezi jua!Ukute hata demu huna dogo??πππ
I, d fake zisikufanye ukawe na dharau huwenda mie baba yako wa kufikiaUkute hata demu huna dogo??πππ
ahsante sanaPole chaliangu
Vizurini vizuri nikawafahamu ndugu upande wa baba chief
hata wanangu wawafahamu babu zao na mashangazi