Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,561
- 16,339
_*Nawasalimia MADEM wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_
_*Nawasalimia MADEM weupe mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*_
_*Nawasalimia MADEM Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano P,K,O,S!! Nakaribia KUOA,*_
_*Nawasalimia MADEM wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,*_
_*Nawasalimia MADEM ambao ukiwatongoza wakakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanaweka foleni inbox Kukuuliza huyo nani,*_
_*Nawasalimia MADEM wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani *_
_*Nawasalimia wale MADEM nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo Tumeachana Niwaambie SICHUNIKI,*_
_*Nawasalimia wale MADEM wazuri mpaka naogopa kuwafata INBOX nabakia kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI *_
_*Nawasalimia Wale MADEM Tunao chuniana MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua PLEASE NIPENI BREAK,*_
_*Nawasalimia MADEM Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza PAPA, Salamu Ziwafikie *_
_*Nawasalimia wale MADEM mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI *_
_*Nawasalimia Wale MADEM nilio watongoza MTANDAONI nampaka sasa tunaitana Honey Ila HATUJUANI *_
_*Nawasalimia wale MADEM woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_
_*Nawasalimia wale MADEM ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI Muoneni Ras Simba*_
_*Nawasalimia Wale MADEM wanao post PICHA NZURI ila hawataki kutongozwa UMEPOST YA NINI *_
_*Nawasalimia wale MADEM mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,*_
_*Nawasalimu MADEM mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*_
Nawasalim sana.
_*Nawasalimia MADEM weupe
_*Nawasalimia MADEM Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano
_*Nawasalimia MADEM wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI
_*Nawasalimia MADEM ambao ukiwatongoza wakakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanaweka foleni inbox Kukuuliza huyo nani,*_
_*Nawasalimia MADEM wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani
_*Nawasalimia wale MADEM nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo
_*Nawasalimia wale MADEM wazuri mpaka naogopa kuwafata INBOX nabakia kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI
_*Nawasalimia Wale MADEM Tunao chuniana MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua
_*Nawasalimia MADEM Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza PAPA, Salamu Ziwafikie
_*Nawasalimia wale MADEM mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI
_*Nawasalimia Wale MADEM nilio watongoza MTANDAONI nampaka sasa tunaitana Honey Ila HATUJUANI
_*Nawasalimia wale MADEM woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_
_*Nawasalimia wale MADEM ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI
_*Nawasalimia Wale MADEM wanao post PICHA NZURI ila hawataki kutongozwa UMEPOST YA NINI
_*Nawasalimia wale MADEM mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi
_*Nawasalimu MADEM mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*_
Nawasalim sana.