#COVID19 Uganda records six new coronavirus recoveries

Tofalizito

JF-Expert Member
Mar 28, 2020
343
1,264
Uganda has on Sunday April 19 discharged six more patients including a baby who have recovered from COVID-19 after treatment, bringing the count in the country to 28.

Mr. Emmanuel Ainebyoona, the Ministry of Health Spokesman, said that those discharged include 3 males and 3 females.

17 patients were early this week discharged from Mulago National Referral Hospital in the capital Kampala, and one from Hoima Regional Referral Hospital in the western part of the country.

“All the discharged patients tested negative twice for COVID-19. We are now remaining with 27 active cases from the confirmed 55 cases in the country,” the Ministry said in a statement.

Uganda started discharging patients who recovered from the novel coronavirus on last week Saturday with three patients from Entebbe Referral Hospital, about 40 km south of the capital.

On Saturday, a total of 1,126 samples were tested and all were negative for COVID-19.

Health Minister Dr Jane Ruth Aceng announced that two mobile PCR laboratories have been procured to quicken coronavirus testing at border entries.

Dr. Aceng confirmed that the two PCR laboratories will be received in the country on Sunday April 19 and officially be commissioned by Prime Minister Dr Ruhakana Rugunda who also chairs the National Taskforce on coronaviris response.

They will be deployed at the congested border points to quicken testing and return of results, she said.

Dr Aceng gave status update on coronavirus response in Uganda and appealed to all of Ugandans who live along the roads followed by the truck drivers including the women who interact with them for different purposes to stay away from these truck drivers.

“During this period of Lock down, please do not accept visitors into your homes, not even neighbors, ensure adequate physical distancing with people who do not live with you every day,” she appealed.

Uganda has registered 55 confirmed cases and is currently under a three-week extended nationwide lockdown aimed at stopping the spread of the virus.

Source: Uganda records six new coronavirus recoveries - Sabasaba Updates
 
Wagonjwa wengine sita wamepona na kuruhusiwa kutoka Hospitali mchana wa leo Uganda na kufanya idadi ya waliopona kufikia 28, hadi sasa Uganda ina visa 55 ambapo wagonjwa 27 wanaendelea na matibabu, 28 wamepona na hakuna kifo cha corona.

“Nawapigia saluti Madaktari na wahudumu wote wa afya Uganda kwa kazi nzuri, mmeweza kupambana na corona huku wenyewe mkiwa salama pia, tukutane baadae leo nitalihutubia Taifa kuhusu corona”- Rais Museveni wa Uganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wawe wanatuonesha video za hao wanopona wakirudi nyumbani. China ilikuwa inatudanganya hivyohivyo kumbe Mambo ni tofauti kabisaaaa
Sisi tuna maigizo zaidi
mimi nina kaka yangu umri mkubwa kidogo amekuwa na matatizo ya moyo karbu miaka miwili sasa. wiki iliyopita ameenda muhmbili kwa ajili ya klinik amewekwa karantini bila kupimwa wala familia yake kuwekwa karantini hali ya kuwa huyu mzee ana miezi miwili hatoki nje
jana amefariki tukaambiwa hatupewi mwili sababu amefariki na corona leo mchana tumepewa mwili ya kwamba hajafa na corona na tumefanya mazishi jioni hii
Je nani ana maigizo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni muhimu kuzuia watu kuingia na kutoka dar na zanzibar kwa sasa
Nchi yetu ni kubwa sana tukichelewa ukasambaa nchi nzima tutapata tabu sana
Museven alichukua akshen mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom