Wakuu,
Nadhani mpo swafiii!,sio siri yani mmi huwa nawaonea wivu sana ninapowaona wanyama wakigegedana,hasa jogoo,yani akiwa na hamu yeye anakimbiza tu jike anakamata anagegeda,hatoi pesa wala nni? Lakini sisi huku hupati papuchi mpaka jasho likote.
Ukapasue zege au ukabebe magunia ya mzingo kwa siku unalipwa 3000sh,shule zenyewe hatukuenda tumekuwa tukivua samaki, samaki wenyewe siku hizi hakuna na bado serikali inatusumbua vibali, hapa nilipo sijagegeda huu ni mwaka wa 10 tangu nimebalehe.
Wanawake wenyewe wanataka pesa mmi pesa sina, pesa ya kula mwenyewe sina nitaweza kuhonga kweli?,yani wakati mwingine huwa natamani ningekuwa jogoo2 hizi tabu zote nisingepata, jamani wanawake mtuhurumie sisi maskini tusio na pesa na sisi ni binadamu, tunahitaji pia hizo huduma za kimwili.
Ni mimi ndugu yenu N'gosha wa Kanda ya ziwa,yangu ni hayo tu