bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Uko chini sana mkuu,si unaona mashine bado iko piru.Ongeza ongeza150 kula fasta
Hapana mkuu mipira unatafuta mwenyewe.hiyo bei nib pamoja na mipira?
350,000Bei ya dukani ni kiasi gani?!?! Maana naona ka umezidi kidogo?!?!
Ongeza 60 iwe 240,000 mkuuKula 180,000