mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
Sema bei ikoje ,nimechoka kukaa mabatini na mimi nije nyegezi
nikitaka kimoja unaniuzia kwa ngapi mkubwa?
Mwanza nako kumbe kuna bei? 15mx25m naona kama vidogo kwa bei inayotajwa.
Mwanza nako bei hazishikiki
Eneo Nyegezi Mwanza Vimepimwa na vina Hati
Nyegezi ni kubwa sana, maana inaanzia Nyegezi Corner mpaka Lechelele, unazungukia Nyahingi mpaka Mkolani, hapo hujataja Fisheries na maeneo zunguka, weka wazi Mkuu, nataka kuwekeza maeneo hayo.