Viwanja vinauzwa maeneo ya Kihalaka Mapinga. Eneo Nizuri sana kilometa 5 kutoka barabara ya lami. Ukubwa vyote ni sqm 4100 kuna banda la mita 30x 10, vyumba ya vyumba 3, store, jiko la nje, kisima cha maji. Umeme wa Tanesco na bomba la maji vinapita jirani barabarani. Ni eneo karibu na kambi mpya ya jeshi inapojengwa na karibia na ukumbi mkubwa wa KKKT.
No 18 mpaka 21 sqm ni elfu 20000/=
Wewe hata mawazo huna yakuwa nakiwanja unategemea kwa ufukara wako utakuta kiwanja samora??kaa hivyo hivyo nakuwaza umbali watu wapo bagamoyo'kibaha sembuse mapinga nimekuweka kiporo najua utakuja siku nyingine.

Naomba unisikie kwa makini....."Ukiwa unatoka Bunju B, unaelekea mapinga kuna daraja kubwa kuna kituo cha mali asli huwa wanakamata wanao beba mkaa sasa baada ya hilo daraja upande wako wakulia kuna barabara inaeleke kulia ndiyo sehemu inaitwa kihalaka sasa ndugu yangu BARRY naona upuyanga au dar haujui vizuri uliza tukwambie wazawa.