dbelive Member Joined Feb 27, 2014 Posts 26 Reaction score 3 Dec 11, 2015 #1 Nauza viwanja vyenye ukubwa wa futi 55 kwa 42, vipo Nyeburu ni katikati ya Gongo la Mboto na Chanika na umbali toka barabara ya lami (main road) ni 0.7 km. Kuna umeme na huduma za kijamii, namba ya simu 0714 11 44 53. Attachments 1449823145642.jpg 50.5 KB · Views: 255 1449823166166.jpg 53.7 KB · Views: 237
Nauza viwanja vyenye ukubwa wa futi 55 kwa 42, vipo Nyeburu ni katikati ya Gongo la Mboto na Chanika na umbali toka barabara ya lami (main road) ni 0.7 km. Kuna umeme na huduma za kijamii, namba ya simu 0714 11 44 53.
I ishiveti JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,019 Reaction score 519 Dec 11, 2015 #2 Naomba niulize,,maji yake yanatoka wapi na umeme uko umbali gani? Nikitaka eka moja ni bei gani
A agape1234 Senior Member Joined Feb 5, 2015 Posts 149 Reaction score 44 Dec 11, 2015 #3 Taja mita. Tunataka kujua ni mita ngap?
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,894 Reaction score 52,486 Dec 11, 2015 #4 havina tatizo? nitakupigia tafadhali