Kwani ndugu wewe ni nikipofu mpaka uende kununua ardhi yenye matatizo ukitaka kutapeliwa ni wewe mwenyewe tu na uzembe wako jambo muhimu zingatia taratibu za ununuzi wa ardhi before hujaweka fedha yako.......Na sio kiluvya tu popote pale usipofuata taratibu za kisheria unapigwa vizuri.Asante kwa muongozo huu
Boss asante kwa maoni yakoNi vema ukasema nauza kiwanja urefu kiasi fulani upana kiasi gani. Ila ukisema square meters 500 baadhi yetu au wengine wengi wanapata shida kudadavua size ya eneo kulingana.
Kiluvya kwa Komba wapi hapo?Kiwanja kinauzwa Kiluvya kwa komba
Ukubwa ni smq 400,umbali wa mita km 1 kutoka barabara kuu ya morogoro Road
Bei milioni 12
Kina hati?Ndugu zanguni wa Jamii forum
Nimewaletea kiwanja hiki mali safi kabisa Njoo ukinunue Utakuja kunishukuru
Mkuu Vesper-valensDocuments
Sales agreement
Hakuna kichuguu kipo sehemu nzuri hakipo bondeniMkuu Vesper-valens
Unaonaje hicho kiwanja kilivokaa.
Naona kama kichuguu vile, mlima, hapako tambarare.
Unadhani kitapata mteja kweli?