Nauza Vitz

Kama kweli unaweza kupata kwa 5M poa si biashara bana lakini hii nnayozungumzia mimi ni 7.5M
sawa pale pana madalali lakini mi si dalali
 
Gar hii ni fuel economy, ongeeni bishara sasa acheni stori
 
Vitz inakunywaje mafuta kwa Km ?
 
Show room ngapi umeenda ukakosa Vitz kwa mil 8?

 
show room kibao tu, haalafu tambua kuwa TRA wamebadilisha namna ya kukokotoa kodi na usisahau kuwa dola ipo juu
 
weka namba tuwasiliane wamichosho

Mkuu hiyo bei ulioiweka ni halali kabisa mimi nina magari mawili Vitz 2003 na Rav 4 kwa sasa ukiyalinganisha kwa jinsi Vitz ilivyo economy kwenye mafuta nainjoy kweli anyway ni gari ndogo lakini kwa mishemishe za hapa mjini mbona ukiweka lita 5 unainjoy sana mkuu...hata unipe 10m siwezi kuiuza hii vitz yang tena rangi Gold ambayo nikipita nayo kila mtu inamvutia...hapo kama mko serious changamkieni hiyo gari ni nzuri sana na engine yake ni VVTI...
 
ukishaangalia hiyo picha nicheki kwa no 0713632526 during work hours (between 09:00 to 15:30)
 
Hiyo Rangi karibu show room zote zinapatikana
 
picha hizo zilipigwa muda wa jioni na ilkuwa kuna kivuli cha mti hvyo ilikuwa inafanya reflection ya mwanga gari ipo bomba ongea biashara
 
Vp 6m unachukua mkuu tufanye biashara ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…