Nauza vitu hivi

King Zenji

Senior Member
Joined
Feb 18, 2008
Posts
178
Reaction score
18
1.Hili la Mwanzo ni GENERATOR mobile,ambalo unaweza kutembea nalo mtaa kwa mtaa,ni three phase,limetumika kidogo sana huko UK,linafaa zaidi kwa watu wenye shughuli za kupamba kwenye masherehe makubwa makubwa,Bei ni Mil.18.5,,,,discount inapatikana pia.

2.Gari ndogo nzuri kwa ajili ya kuzungukia jiji,zipo kibao,mfano ni hiyo CHASER DX 100,Bei Mil.8 tu na CARINA safi bei Mil 6.8 tu,Hio CANTER LONG BASE inauzwa bei ubwete kabisa Mil 18.4 tu,mashine kama unavyoziona.

3.Yapo mafriji makubwa makubwa,kwa bei poa kabisa,kama unavyo yaona hayo ni baadhi tu,Mfano hizo ndefu hapo ni laki 360,000 tu plus transport to DAR PORT,Double door hilo hapo ni laki 7 na alf 80 tu,kuna mavitu kibao,kuanzia ma TV used ya flat screen kuanzia 230,000 mpaka laki 9 kwa zile LCD kuubwa.

KAma unataka waweza kuwasiliana nami kwa kuni PM ili tuweze kuongea na kupanga jinsi ya kuja zenji au kukutumia mzigo wako bila mashaka.

NAWASILISHA.
 

Attachments

  • DSC00129.JPG
    56.1 KB · Views: 71
  • DSC00130.JPG
    44.5 KB · Views: 86
  • DSC00127.JPG
    48.8 KB · Views: 71
  • DSC00126.JPG
    52.8 KB · Views: 75
  • DSC00131.JPG
    80 KB · Views: 81
  • DSC00132.JPG
    40.7 KB · Views: 81
  • DSC00133.JPG
    49.8 KB · Views: 75
  • DSC00134.JPG
    46 KB · Views: 82
  • DSC00137.JPG
    65.9 KB · Views: 81
  • DSC00140.JPG
    77.1 KB · Views: 90
  • DSC00141.JPG
    57.4 KB · Views: 76
  • DSC00142.JPG
    55.7 KB · Views: 79
  • DSC00143.JPG
    31.5 KB · Views: 67
  • DSC00146.JPG
    28.7 KB · Views: 79
I would advice you get a website for that. Seems like you got a lot to show and can't cram all them in the post.

Ukiwa na website, tunaweza vicheki vizuri zaidi.
 
ok muzee,ntaanzisha ka blog kaka,good idea.
 
nice iyo CARINA ni mpaka dar transport na ya mwaka gani jamani, je kuna discount hapo au ndio top
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…