ππππWengine tumepiga HKL mkuu ukivipata nistue nataka kurisiti pepa.
IM HAPPY MKUU, WE UZA TU!Sina nia ya kukumbusha mtu kaka nia ni kuuza na kujikimu.
Kama umekumbuka PCB na ukafurahia Hilo basi Safi ila kama haijakufurahisha basi nisamehe.