Nauza vioo na housing za Laptop

jT0078

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
444
Reaction score
346
Kama laptop yako imevunjika kioo au imevunjika housing, ilete tubadilishe.
Tunapatikana Ilala – Dar es Salaam.
Simu: 0767953873

​
 
Yangu haijavunjika ila nataka kui upgrade screen
 
Mkuu habari. Nina MacBook Pro. Kioo kilipata shida nikabadilisha. Sasa ina shida moja, nikiwasha kioo hakionyeshi mpaka niwe kama naifunika na kufunua. Nijuze kama unaweza kunisaidia hili tatizo
 
Mkuu habari. Nina MacBook Pro. Kioo kilipata shida nikabadilisha. Sasa ina shida moja, nikiwasha kioo hakionyeshi mpaka niwe kama naifunika na kufunua. Nijuze kama unaweza kunisaidia hili tatizo
Nichek 0767953873
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…