Nauza vifaa vya biashara ya chips
Meza ya plastic 1 na viti 4
Kabati la kioo na meza ya mbao
Majiko 2 ikiwepo na la mshikaki
Sahani 11
Karai ya kukaangia chips
Vikaangio viwili
Jumla 350000 sijapiga picha ila tunaweza arrange kuviangalia vipo mtaa wa kirumba sokoni
Hapo cha kufanya ni kununua vifaa vyote na kubakia eneo hilo hilo la biashara. Kwa kufanya hivi utakuwa umenunua biashara nzima mpaka wateja hivyo unakuwa na uhakika wa kuwa na faida nzuri