Nauza vifaa vya car wash

Affet

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
1,189
Reaction score
1,677
Habari bandugu,nina car washer naiuza 600,000,blower naiuza 250,000 na compressor ya lita 50 naiuza 300,000 nilikuwa na car wash sehemu baada ya kuletewa mazonge na wafanyakazi nikaifunga vifaa vipo tu ndani kwa maswali zaidi na anaehitaji tuwasiliane 0716 686118 na 0692928928
 
Mimi ni kijana ambaye sina ajira nko na laki sita cash unaweza kuniachia tukaingia mkataba then nikawa nakulipa taratibu mkuu
 
Sawa mzee yaani wengi tulitamani kununua. Kila la kheri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…