Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 736
- 1,214
Ndogo tuu ndugu nimekubali hasaraMbona bei kubwa sana
Utapata tuu nkoi ngoja waje walionavyo
Yap kina chuma mkuuUnahiyo pea moja au zipo nyingi? Inachuma mbele?
Hicho mkuuWeka picha yake halisiii
Kweli Very expensive ipo pair moja tuu mkuuHiyo ni safety boot, ni expensive Sana, OK una pea moja au zipo nyingi?
Mkuu nimekujibu nina pair moja tuu.Nauliza Mara ya 4,una pea moja au pea nyingi nataka tufanye biashara Kama unapea nyingi
kwa bei ya 40 tzs basi ni bei ya hasara maana kukuta kiatu kama hicho kwa bei ya 40tzs ni NADRA. ningekuwa Dar ningenunua hapo mpaka nirudi ndo nikutafuteBei Dukani kinauzwa 120,000/=
Mimi nauza bei ya hasara sh 40,000/= tuuu
hivi navikubali kwa wanaume wa KAZI ni MKATABAHicho mkuuView attachment 1263682