Nauza verossa

Yawilla13

Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
66
Reaction score
18
Hi, Nauza Toyota verossa,
Year; 2001 imported from Japan 2013.

CC ; 1980

Namba C.

Bei mil 8.


ni pm piga 0769 610 622.
 

Attachments

  • IMG-20140426-WA0003.jpg
    54.3 KB · Views: 334
Hi, Nauza Toyota verossa,
Year; 2001 imported from Japan 2013.

CC ; 1980

Namba C.

Bei mil 8.


ni pm piga 0769 610 622.

good price kama gari ni nzima.

mkuu hii ni beam 2000 au twincam?
 
Mh? Nzima ? mbona kama unalisukumia
 
Mkuu nina uhakika utauza tu coz bei yako sio mbaya na gari bado mpya sana, kila la kheri ndugu
 
Watz bana; angesema m12 mngesema bei sana bora kuagiza, kafanya m8 mnasema - mbovu nini mbona bei ndogo. Sasa lipi bora?

Usinielewe vibaya chief..hakuna ubaya na kusema 8m ila kwakua wengi tunazijua bei za verossa(hasa ikiwa haina muda mrefu kama hii)...atleast angesema ni kwanini anauza bei hiyo...hivi nikuulize..leo ukaambiwa kuna mtu anauza VX kainunua ndani ya mwaka mmoja, kwa 6M ...utakimbilia tu kununua bila kujua kwanini muuzaji amekubali kupata hasara...mi ninachoamini...hakuna mtu dunia hii anapenda kupata hasara.
 
Kifupi nahitaji noah yenye ubora hasa kwa ajili ya familia,so kma mtu ana noah tunavunja tuu,
 

verosa kwa 8m registrered with C ni very cheap tena hii ya cc1980. ningekua na mkwanja hii singeiacha nashauri kama kuna mtu hmu anapenda verosa kweli amchunguze muuzaji na sababu ya kuuza then alipe na kuondoka. huwezi pata sehemu nyingine hii bei

bonna asante kwa kumuelewesha Jerrymsigwa. Any rational buyer will question unrational price whether low or high
 
Last edited by a moderator:

Hakuna tabu mkuu
 

Mkuu sio kesi
 
Last edited by a moderator:
Hi, Nauza Toyota verossa,
Year; 2001 imported from Japan 2013.

CC ; 1980

Namba C.

Bei mil 8.


ni pm piga 0769 610 622.

utauza hiyo gari liko poa...na bei yako iko poa kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…