biasharaTz
Senior Member
- Apr 14, 2016
- 163
- 79
Sawa kuwa na subira kidogoWeka picha
Nimesema 160,000 maongezi yapo. Jitahidi kusoma vizuriBei vp
Betri inakaa na chaji kwa muda wa masaa ma6 hadi 9 Kama hautumii data. Lakini Tambua vlvl Samsung betri zake hazikai sana na chaji. Ila ni betri ya kutoka hivyo waweza kununua betri ya ziadaUkiweka picha ntakuja.....vipi battery life
Hapo ndio kimbembeUkiweka picha ntakuja.....vipi battery life
Hapo ndio kimbembe
Note4 ziko vizuritatzo la Samsung nyingi battery life, pia hazitunzi chaji, wacha ni enjoy na my tecno L8 a supersonic charge keeper.
Ondoa shaka mkuu, Kuna kazi zangu za ofisi nilikuwa nafanyia na vlvl inafutwa kila kituRam 1.97 GB halafu imeshajaa?
Ondoa shaka mkuu, Kuna kazi zangu za ofisi nilikuwa nafanyia na vlvl inafutwa kila kitu
Inawezekana mm nikawa nimekosea katika kuandika. "anaekubali mapungufu ni jasiri"!Ila sijawai ona note 1 yenye Ram 1.97GB. Note 1 zote ni 1GB
Inawezekana mm nikawa nimekosea katika kuandika. "anaekubali mapungufu ni jasiri"!
Tayari mkuu. Asante kwa kuboresha bandiko languSawa mkuu,ni vzuri uka hariri.
Ipo Kigamboni, Dar es SalaamHiyo simu ipo wapi?
Inawezekana mm nikawa nimekosea katika kuandika. "anaekubali mapungufu ni jasiri"!
Vizuri sana that's the way of great thinkersSawa mkuu,ni vzuri uka hariri.
MBNA Haukoo serious badala uweke picha unaweka screenshot kwani nani haijui note1 ilivo