Nauza unga wa lishe

Hello dears... Ndugu zangu waislamu Ramadhani ishanukia, na kama tunavyojua mfungo wake uji buana tena wenye iliki kdg, pilipili manga, tui la nazi na manjonjo mengine
Sii waislamu tu hata ndugu zng wakristo tunaofunga unashauriwa kutumia kimiminika cha moto pale unapofungua!

And what is better than uji mtamuu wenye virutubisho vyote stahiki?? BEAH NUTRI FLOUR INAKUJALI.. KARIBUNI SANA

0769112563 / 0658224994

Ingredients: Ulezi, Soya, Mbegu za maboga, Mahindi ya bisi na Karanga!
 
Mbona umekuwa mgumu sana kutaja bei mkuu? Taja bei uone wateja watavyojaa,au bei zako ghali sana kiasi cha kuhofia kuweka hadharani ?
 
Kwa walio mwanza au wenyeji wa mwanzs wanisadie sehemu ambapo ntapata kazi yoyote ile ambayo haina uhitaji wa vigezo vya elimu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…