Habari za mchana wana JF natafuta mteja wa kununua ufuta, nina ufuta zaidi ya kilo 2,000
Ufuta unapatikana shambani kwangu nje kidogo ya Mkuranga, Serious Buyer naomba anicheki private kwa mawasiliano zaidi. Karibuni sana
Habari za mchana wana JF natafuta mteja wa kununua ufuta, nina ufuta zaidi ya kilo 2,000
Ufuta unapatikana shambani kwangu nje kidogo ya Mkuranga, Serious Buyer naomba anicheki private kwa mawasiliano zaidi. Karibuni sanaView attachment 350585