Nauza TV samsung 55 inch

Uko sahihi ila hali ya uchumi kwa wengi ni tatizo miningekupa laki nane keshi
Mkuu pako mbali sana ungekua walau ungesogea hats 1.2 ningefumba macho tukafanya biashara. Kutoka 2.2m hadi 0.8m panaumiza kichwa sana. Nina shida sana ila dah bei inakatisha tamaa.
 
Uko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…