Wakuu,nauza TV yangu ndogo nchi 14 aina ya THOMSON iko na remote,ni fully HD.. inafaa kwa matumizi kama ya Saloon. Nipo DSM.
Kama ukihitaji ni PM uje tuitest.
Bei 75000/=.
Maelewano mpaka uione.
hiyo tv 14inch inahitajika ilala msimbazi center kuna salon ya kike inaitwa happy salon and beauty care kuna dada mwenye salon anaitwa happy 0715661455 muhimu anahitaji sana