U Uled New Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Sep 15, 2011 #1 Jaman nauza Trekta,ni mpya kabisa haijatumika Tanzania ni MF 240. Na International 684 hii imetumika Tanzania. Bei maelewano 0713474348 Khalid
Jaman nauza Trekta,ni mpya kabisa haijatumika Tanzania ni MF 240. Na International 684 hii imetumika Tanzania. Bei maelewano 0713474348 Khalid
Doltyne JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 440 Reaction score 173 Sep 16, 2011 #2 Zina hourse power ngapi? Je ni 4*4? Matairi yapo katika hali gani? Yamechapa kazi masaa mangapi?, yapo mji gani hapa tz? Bandika picha kaka. Kuna mtu namfaham anatafuta trekta.
Zina hourse power ngapi? Je ni 4*4? Matairi yapo katika hali gani? Yamechapa kazi masaa mangapi?, yapo mji gani hapa tz? Bandika picha kaka. Kuna mtu namfaham anatafuta trekta.
Jidu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,232 Reaction score 757 Sep 16, 2011 #3 Kilimo kwanza kimekushinda mkuu?
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Aug 2, 2015 #4 Bei maelewano ndo bei gani