Ha ha umeona ehh ndo mana zimekosa washabiki kabisa hizo GARI!!! Siku niliyoliuza nilijiona Kama mwenye bahati Sana!!!
Ni kama gari zuri hivi ila naona kama bei iko chini sana eti!!!!
bas endesha mwenyewe kwani mil.3 mawe!!
Aah kumbe ni wewe eeh? Mil 3 ni hela lakini hainunui Progress boss. Angalia uwezekano wa TVS King used.
Gari Imeshauzwa wadau. Thread closed
Nimetumia hiyo GARI wese lake n heri tu ukatumia Prado!!!!
CC 2500 si mchezo!!!
Usiangalie Cc mkuu Harier hybrid ina CC 3000 lakini Lita moja inatembea km hadi 26
Kweli mkuu?
Ni kweli kabisa full tank unafika Bukoba kutoka Dar
Hongera mkuu