Car4Sale Nauza Toyota Ist mpya (chassis #, unregistered)

mozilla

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
704
1,003
Wakuu poleni na majukumu,

Nauza gari aina ya Toyota Ist
Chassis number
Unregistered
Never used in Tanzania
Model/Year 2002
Mileage 67,000km
Engine capacity 1290cc
Tshs 9.5milion (fixed)
Call 0787 646442
Location: Ilala Dar es salaam

Kwa mahitaji ya gari new and used wasiliana na mim faster mara moja 0787 646442







 
Km 67,000 alafu umesema mpya? Kwani ukisema ya mtumba inakuwaje?
Ushawai kumiliki gari au kuagiza gari from Japan??
Km ikija zero bei yake utaiweza wew?
Nenda pale Toyota nyerere road zipo zero km
Hii ni mpya kwa maana never used in Tanzania, ila ni mtumba wa Japan
 
Acheni kutetea bana,
Hata Nguo tunazonunua Mitumbani nazo hazijawahi kutumika Tanzania but still tunasema ni Mtumba, iweje Gari muite ni Mpya??
Mleta Uzi kakosea, otherwise angemalizia tu ni Mpyakwa hapa Tanzania, lakini ikibaki tu Mpya then ina km 67,000 si kweli hii at any justification.
 
Wote tunajua magari yetu 99.9% ni mtumba... akisema mpya anamaanisha haijatembea nchini au rahisi zaidi ni imetembea mabara ya watu huko.
Asante mkuu, humu watoto wanaoishi kwa baba na mama wanasumbu sana,
Waende showroom waone gari zina mileage hadi laki 2 na watu wanatoa mapesa.

Watz wanaonunua gari zero mileage ni wachache sana, kina Davies Mosha, watoto wa Barhesa, Nimrod Nkono, etc
 
Lakini jamaa hajasema kuhusu bei kasema kuiita mpya wakati ina mileage 67000 mi naona yupo sawa tu.
 
Mimi ya kwangu nilinunua km 30000000,sasa bado wangeona mpya
 
Si ameandika never used in Tanzania au hauna macho we mtu?
 
Si ameandika never used in Tanzania au hauna macho we mtu?
Ume-reply katika kitu usichokielewa,
Hapo kwenye neno "Mpya" ndio hapo hapo angemalizia "kwa Tanzania" iwe kama sentensi moja.
Sio "Mpya" ipo kwenye title, na "Never Used in Tanzania" iko ndani ya Uzi,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…