Nauza toyota granvia

Mtumwa baniani

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
128
Reaction score
26
Habari wakuu?
Nauza gari aina ya toyota granvia. Engine ina cc 3000, ina sunroof, full
time 4 wheel drive, inatumia petroli na imetembea km 150,000 na namba
zake ni ck. Bei ni milioni 16 na mazungumzo yapo.
 
Habari wakuu? Nauza gari aina ya toyota granvia. Engine ina cc 3000, ina sunroof, full time 4 wheel drive, inatumia petroli na imetembea km 150,000 na namba zake ni ck. Bei ni milioni 16 na mazungumzo yapo.
Mwenye kuihitaji apige 0686555726.

Cc 3000? na foleni hii ya bongo,,,i am too poor!!
 
Hiyo gari c kama Noah tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…