Nauza Toyota Chaser GX 100

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
411
Wadau nauza gari TOYOTA Chaser (GX 100) ina engine ya 1G- FE wajuzi wa magari watakuwa wanaifahamu, bado iko poa sana, namba ni ADB, rangi Silver, bei ni 4 Mil (negotiable) ipo hapa hapa Dar, sababu ya kuiuza ni kwamba nimenunua gari nyingine, hiyo imekuwa haina matumizi.
 
Attachments

  • 1424034457114.jpg
    31.7 KB · Views: 797
  • 1424034476767.jpg
    34.5 KB · Views: 750
  • 1424034498215.jpg
    33.1 KB · Views: 713
  • 1424034518337.jpg
    33.3 KB · Views: 719
Hiyo rangi ni original au ni mkono wa pili?
 
Kwa anayeifahamu Avante vizuri lazima ajipange vinginevyo na yeye atakuja na maneno, "......nimenunua gari jipya hili halina matumizi"
 
Kwa anayeifahamu Avante vizuri lazima ajipange vinginevyo na yeye atakuja na maneno, "......nimenunua gari jipya hili halina matumizi"

Mkuu kama huna pesa piga kimya, haikuwa lazima kucomment kama si mnunuzi
 
Kwa anayeifahamu Avante vizuri lazima ajipange vinginevyo na yeye atakuja na maneno, "......nimenunua gari jipya hili halina matumizi"

Sina hakika kama unafahamu vizuri unachokisema boss au umeamua tu kujiweka bize na keyboard kwa kuandika chochote tu.
 
hiyo ni four cylinder haili mafuta sana, jana nimeuza moja ilikuwa imechoka kuliko hiyo.... naitamani sana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…