Berryblack
Member
- Oct 3, 2022
- 70
- 104
- Thread starter
-
- #21
Tende n kwel inaongeza uki mix na maziwa ndizi na michanganyo mingine wataalam wanajuaNaomba hiyo ππ.. ni kweli inanepesha. Nasikia pia inaongeza manii sijui Sasa kama kweli au fix
View attachment 3527363
Bro hizi zimesikmikwa?Karibuni sana wateja mzgo wa tende 10kg utazipata kwa elfu sitini tu (60k).
Wateja wa mkoani mnafikiwa pia kwa. Kusafirishiwa mzgo kwa mawasiliano 0612630936 karibuni sanaa.
View attachment 3527343View attachment 3527344
Mimi hutumia kama kinywaji/smoothiekazi yake hasa ni nini
Hahaaa njoo chukua! Sijui kwakweli kuhusu hilo jambo labda tuwaulize nyie kama ishawaongezea huko katika pitapita zenu! Ningekuwa na kiungo hiko ningewajibu!Naomba hiyo ππ.. ni kweli inanepesha. Nasikia pia inaongeza manii sijui Sasa kama kweli au fix
View attachment 3527363
Samahani kusimikwa Sijaelewa vizuri Ila izo ni tende kavuBro hizi zimesikmikwa?
Ndizo hizohizoSamahani kusimikwa Sijaelewa vizuri Ila izo ni tende kavu
Au nifunge kama zile za buku buku?Elfu 10 kwa kilo π
Uzuri izi sio zile za kugandana n tende kavu so ni wewe tu na packaging yako utaonajeAu nifunge kama zile za buku buku?
Moja ya silaha muhimu sana kwa mpambanaji ki uaminifu kuwa MWAMINIFUNAOMBA MWENYE 15000 ANIKOPESHE TAFADHALI π NIKO NA SHIDA SANA NITAKUREJESHEA TAREHE 20
Ah,Mimi hutumia kama kinywaji/smoothie
Naipenda tu inavyotaste nothing much kazi yake ingine ni kunenepesha japo mi siitumii kwa kigezo hiki..
Kila la kheri katika biashara ya yende