And by the way mm sio mtt bro..hii ni forum ya intelligent people nt dumb..kama hukutaka nunua cmu yang ungesema bas sichukui..sikulazmisha mtu kununua ..and by the way usipende kucrush kama mtu katangazs biashara yake..haukuwa na uhakika unaaza sema 1 GB ,cjui ni fake..mm.sio mjnga kutangazs business bro..and ckukulazmisha unununue..waliotaka walinitafuta ndo maana nikawrka namba..sio kuropoka ropoka tu 1 Gb wakat hauna evidence...kama hukuwa na interest basi usingekoment cjui 1 GB..usiwe na akil za kisoda mzeee