habari zenu wakuu, niko Moshi simu haina shida nimetumia mimi pekee (bei ni 460,000/=) plz aliye tayari tuwasiliane (pm then tutapeana mawasialino zaid)

iko vizuri Hute pia sio muda ninyo toka nimenunua.. nina simu 3 saivi ndo mana nauza hii nimetaja eneo nilipo ili kurahisisha uhakiki wa simu yenyewe.. karibu.