Weka beiNauza Tecno J8 bado ipo katka hali nzuri imetumika miez miwili, nipo Mwanza
Mkuu utakapo gundua huwezi kumpata mteja kwa hiyo bei njoo nikupe 50k!!Nauza simu ya Tecno H6 iko poa sana haona mkwaruzo wowote, bei 140,000, nipo Dar es salaam! Nichek kwa 0713415537
Weee acha utaniNAKUPA 40, NA TECNO T528 mpya yny betri ya 2500amh, na chaja yake hii cm kkoo n elf 55 nenda kaulze betri inamalza zaid ya 2 wk, mwisho wa mwez nakupa 40 tena. 0764726071
Uko pande zip boosNjoo na elfu sabini tu nikupe techno h6 yangu nimenunua week mbili zilizo pita haina shida yoyote piga 0753868912