bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Wapi huko wanauza mpya kwa bei hiyo?mbona hiyo ni bei ya mpya?
kariakoo.Wapi huko wanauza mpya kwa bei hiyo?
Bei reasonable ni kama ipi?Mkuu iyo beii ni hatari...nakushaur uweke bei reasonable....tembelea ata kwny mawebsite ya kuuza vitu mitandaoni utaona range ya bei za CX air
Mpya inauzwa 280000/ hapa mwenge dukani, njooSimu nimenunua miezi 2 iliopita/K/koo sh 315,000 ila naiuza kwa 295,000. haina tatizo lolote lile.
13MP camera
2GB RAM
16GB Internal
4G Network
Original Charger
Njoo PM kama unavutiwa.Asante.
tatizo bei yake kubwa kuliko hata bei ya simu mpya.Kama upo karibu nao wape bure maana naona hawataki kununua.
naomba namba yako mkuu tufanye biasharaMpya inauzwa 280000/ hapa mwenge dukani, njoo
Kweli hata mi najua mpya ni bei hiiMpya inauzwa 280000/ hapa mwenge dukani, njoo
mkuu hapo mwenge nielekeze nijeMpya inauzwa 280000/ hapa mwenge dukani, njoo