B billz949 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 311 Reaction score 73 May 10, 2017 #1 nauza simu yangu aina ya Tecno C8 ikiwa katika hali nzuri sana.Simu haina tatizo lolote,haina scratches wala dent yoyote.Angalia picha ukipenda njoo tuzungumze. 0788309409 Maelewano kidogo yapo
nauza simu yangu aina ya Tecno C8 ikiwa katika hali nzuri sana.Simu haina tatizo lolote,haina scratches wala dent yoyote.Angalia picha ukipenda njoo tuzungumze. 0788309409 Maelewano kidogo yapo
Jemedal_bin_chichi JF-Expert Member Joined Feb 17, 2016 Posts 542 Reaction score 585 May 10, 2017 #2 uliinunua dukan au uliinunua kwa mtu(mtaani)!?? kama ni dukani, inamda gani toka uinunue..!?
popoma JF-Expert Member Joined May 5, 2017 Posts 2,378 Reaction score 3,363 May 10, 2017 #3 Kama haina tatzo kwanini unaiuza???
B billz949 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 311 Reaction score 73 May 10, 2017 Thread starter #4 simu nimeitumia kwa miezi kama minne..........naiuza sababu ya shida binafsi ya kifedha
Marashaaa95 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 848 Reaction score 724 May 10, 2017 #5 Ina 4G??
Mvaa Tai JF-Expert Member Joined Aug 11, 2009 Posts 6,157 Reaction score 4,456 May 10, 2017 #6 Baraka Issack Msomba said: Ina 4G?? Click to expand... Ninayo kama hiyo nimeitumia mpaka sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu na bado ninayo ni simu imara sana ila huduma ya 4G hamna.
Baraka Issack Msomba said: Ina 4G?? Click to expand... Ninayo kama hiyo nimeitumia mpaka sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu na bado ninayo ni simu imara sana ila huduma ya 4G hamna.
IFRS JF-Expert Member Joined Dec 19, 2014 Posts 2,920 Reaction score 5,277 May 10, 2017 #7 Ukifika 120000 uniite
Marashaaa95 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 848 Reaction score 724 May 10, 2017 #8 Mvaa Tai said: Ninayo kama hiyo nimeitumia mpaka sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu na bado ninayo ni simu imara sana ila huduma ya 4G hamna. Click to expand... Siweziii nkanunua simu used zama hizi isiyo na 4G Aseeeee,kama kuna mtu anayo ya 4G anistueee
Mvaa Tai said: Ninayo kama hiyo nimeitumia mpaka sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu na bado ninayo ni simu imara sana ila huduma ya 4G hamna. Click to expand... Siweziii nkanunua simu used zama hizi isiyo na 4G Aseeeee,kama kuna mtu anayo ya 4G anistueee