Habari ndugu, nauza Tangawizi nyekundu na nyeupe kutoka Sumbawanga nina zaidi ya Tani 60 nauza kuanzia Tani 1, mwenye kuhitaji anipigie simu namba 0717246284. Picha zinakataa lakini ninazo whatsapp
Karibuni sana.
Hivi zile soda za tangawizi ni kweli ni tangawizi halisi au wameweka tu ladha yake? kama ni tangawizi halisi basi nakushauri uwasiliane na hao wenye kampuni ya coca uwauzie hizo tani zako