MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
piga picha engine na cc
Nina 3m very serious. Nikumbushe cc za engine
piga picha engine na cc
Ni manual au automatic
Umelewa au
Mbona hutaki kupiga picha engine, unaficha nn? Swift ya 1200cc siyo 1300?
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu..
Ni old model...haina tatzo lolote
Kilomita ni 220000
Imesajiliwa kwa namba B
Only for 4 milion Cash
0786242495
Gari ipo mkoa gani?
kaa ukingojea picha huku gari inauzwa mkuu
endelea kungoja picha